#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Singida zikiwemo taasisi mbalimbali wameombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, ilikuweza kuokoa maisha ya wagonjwa wakiwemo wanaojifungua na watoto, ajali na wagonjwa wengine wanaokuwa wanahitaji damu, kwani zaidi ya chupa 4000 za damu zinahitajika kwa mwaka moja katika hospitali hiyo.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania