Newcastle kupokea ofa mpya kutoka Liverpool kwa mshambuliaji wao wa Sweden, Alexander Isak, huku Spurs ikiendelea na jitihada za kumsaka Savinho wa Man City
Liverpool kutoa dau jipya kwa Alexander Isak, Tottenham wanamuwinda winga wa Manchester City, Savinho, huku pia wakimtazama kiungo wa Como, Nico Paz.