#HABARI: Alan Thomas Mvano ambaye ameteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera katika Jimbo la Kakonko tayari amech…#HABARI: Alan Thomas Mvano ambaye ameteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera katika Jimbo la Kakonko tayari amech…

#HABARI: Alan Thomas Mvano ambaye ameteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera katika Jimbo la Kakonko tayari amechukua fomu INEC, ili kuanzakwa Kampeni za kugombea Ubunge katika Jimbo hilo Kampeni ambazo zitaanza hivi karibuni huku akiwaahidi kuhakikisha analeta maendeleo ya wananchi na serikali kwa ujumla ndani ya jimbo hilo.

Kwa upande wake Michael Farai ambaye ni Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kakonko amesema kuwa zoezi la uchukuaji fomu kwa wagombea kutoka vyama mbalimbali linaendelea vizuri hivyo amewataka wagombea kufuata taratibu zote zilizowekwa hasa kampenzi zitakapoanza rasmi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *