#HABARI: Bw.Lutengano Mwalwiba ambaye aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho kuomba ridhaa kwa wananchi ya ubunge jimbo la Busokelo Mkoa wa Mbeya, amefika ofisi za msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo kuchukua fomu ya kugombea .
Bw.Lutengano baada ya kuchukua fomu amewasihi wanachama wenzake hasa aliotia nao nia ya kuomba ridhaa kwenye chama chao kiwateue kuwa wagombea ,kumuunga mkono ili chama kipate ushindi wa kishindo na kuacha nongwa mana hakna mwenye hati miliki ya ubunge.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania