#HABARI: Emmanuel Mussa (27), mkazi wa Ighombwe, Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi…#HABARI: Emmanuel Mussa (27), mkazi wa Ighombwe, Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi…

#HABARI: Emmanuel Mussa (27), mkazi wa Ighombwe, Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano kutoka Shule ya Msingi Ighombwe.

Tukio hilo lilitokea Novemba 12, 2023 katika Kata ya Sepuka, Wilaya ya Ikungi, Hukumu ilitolewa na Hakimu Mhe. Lau Nzoa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *