#HABARI: Kaya zaidi ya 400 katika Mtaa wa Kwa Kibosha, Kata ya Mapinga, Bagamoyo, mkoani Pwani, wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi katika eneo hilo lenye ukubwa wa takribani hekari 300 ambalo wakazi hao wameishi kwa zaidi ya miaka 40 huku wakishangazwa kuibuka kwa mtu anayedai kuwa eneo hilo ni lake licha ya wakazi hao kuwa na umiliki halali wa maeneo hayo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania