#HABARI: Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) nchini Kenya Justin Muturi, na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Ra…#HABARI: Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) nchini Kenya Justin Muturi, na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Ra…

#HABARI: Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) nchini Kenya Justin Muturi, na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Rais William Ruto, amejitosa kwenye mjadala kuhusu ufisadi bungeni, akimtuhumu Ruto kwa kuendeleza ufisadi.

Muturi pia amepinga uwezekano wa kushauriana na Rais Ruto kuhusu kubuni Muungano wa kisiasa.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *