#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Mwibara mkoani Mara Kangi Lugola, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, ameonesha furaha wakati akielekea kuchukua fomu ya uteuzi, amesema alikuwa Benchi akisoma mchezo baada ya kukosa nafasi hiyo mwaka 2020, huku akijifananisha na Mchezaji aliyekuwa majeruhi na baadaye Timu ikamtibu sasa amerudi mchezoni.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania