#HABARI: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya CCM Dr.Emanuel Nuwas amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ka…#HABARI: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya CCM Dr.Emanuel Nuwas amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ka…

#HABARI: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya CCM Dr.Emanuel Nuwas amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo na kuahidi mamia ya wananchi waliomsindikiza kuwa atawaletea maendeleo katika sekta ya maji,barabara na elimu pamoja na kuwaunganisha wananchi bila kujali toafuti zao za kijamii na kiitikadi .

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *