#HABARI: “Nitoe wito kwa Wakuu wa Mikoa kwamba wanatakiwa kuhakikisha wanakuwa karibu na wananchi, ili kuzifahamu kero zao na kuzitafutia ufumbuzi kwa kushirikiana na watendaji.” – Mhe.Samia Suluhu – Rais wa Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania