#HABARI: Wananchi katika Kijiji cha Nyang’oma Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamekumbwa na taharuki baada ya uwepo wa wimbi la Nyani na Fisi ambao wanahusishwa na imani za kishirikiana kuwa wanawavamia kwenye makazi yao na kula mifugo vyakula na kudai kuwaingilia kimwili na kuitaka serikali kuingilia kati suala hilo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania