#HABARI: Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya, wameagizwa kwa wafungwa wote ambao wamejiandikisha katika daftari la kup…#HABARI: Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya, wameagizwa kwa wafungwa wote ambao wamejiandikisha katika daftari la kup…

#HABARI: Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya, wameagizwa kwa wafungwa wote ambao wamejiandikisha katika daftari la kupiga kura, kuhakikisha wanapata haki yao hiyo ya msingi ya kupiga kura ifikapo Oktoba 29 mwaka huu, ili waweze kuchagua viongozi sahihi ambao wataendelea kudumisha amani.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Bw. Solomon Itunda, wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya Miaka 64 ya Jeshi la Magereza baada ya Uhuru.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *