#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa w…#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa w…

#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa wanapatiwa mafunzo ya muda mfupi ya ufundi stadi, ili wanapo maliza kifungo chao waweze kujitegemea na wasirudie vitendo vya uhalifu.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *