#HABARI:Polisi nchini Kenya wamethibitisha kumkamata mshukiwa mkuu wa kike wa vifo vya waumini wa mafunzo potovu, ambaye anasa…#HABARI:Polisi nchini Kenya wamethibitisha kumkamata mshukiwa mkuu wa kike wa vifo vya waumini wa mafunzo potovu, ambaye anasa…

#HABARI:Polisi nchini Kenya wamethibitisha kumkamata mshukiwa mkuu wa kike wa vifo vya waumini wa mafunzo potovu, ambaye anasadikiwa kutoroka wakati wa kukamatwa kwa awamu ya kwanza ya wafuasi wa Kanisa la Mhubiri Paul Mackenzie, mnamo mwaka wa 2023 ambaye anazuiliwa kuhusiana na vifo vya wafuasi wake katika shamba la Chakama.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz RadioOneStereo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *