#HABARI:Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, wamejitokeza kumsindikiza Dkt.Juma Zuberi Homera, kuchukukua fomu ya kugombea Ubunge kwenye Jimbo hilo, baada ya kuteuliwa na Kamati Kuu ya Chama hicho kupeperusha bendera ya Kugombea Ubunge Jimbo la Namtumbo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania