Iran yaapa kulipiza kisasi baada ya Australia kumfukuza balozi wakeIran yaapa kulipiza kisasi baada ya Australia kumfukuza balozi wake



Iran imeapa kuchukua hatua zinazofaa za kulipiza kisasi baada ya Australia kumfukuza balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini humo kwa madai ya “chuki dhidi ya Wayahudi,” na kusisitiza kwamba vitendo vya ubaguzi wa kidini havina nafasi katika utamaduni, historia au imani ya taifa la Iran.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *