Je, ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Nigeria unaongeza hatari ya ukiukaji wa haki za binadamu?Je, ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Nigeria unaongeza hatari ya ukiukaji wa haki za binadamu?



Hivi karibuni Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kuwa ili kuisaidia Nigeria katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi, imekubali kuiuzia nchi hiyo silaha zenye thamani ya takriban dola milioni 346.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *