Mgombea wa chama cha Republican wa kiti cha Kongresi huko Texas, anayejulikana kwa uadui wake mkubwa dhidi ya Waislamu amewakasirisha Waislamu zaidi ya bilioni mbili duniani kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu ili kuunga mkono kampeni yake ya uchaguzi.
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
