Rais Masoud Pezeshkian jana Jumatatu alizungumza kwa simu na Rais Vladimir Putin wa Russiai na kumweleza kuwa Tehran haijawahi kutaka kumiliki wala haitatafuta silaha za nyuklia, akisisitiza msimamo wa muda mrefu wa Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia.
Source link
