Taarifa ya mwisho ya mkutano wa OIC  yapinga mpango wa "Israel Kubwa"Taarifa ya mwisho ya mkutano wa OIC yapinga mpango wa "Israel Kubwa"



Taarifa ya mwisho ya mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu imesisitiza upinzani dhidi ya matamshi ya kutowajibika ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu dira ya “Israel Kubwa.”



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *