“Tunakushukuru kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi, umefanya kazi kubwa sana ya kukiunganisha Chama Cha Mapinduzi kipindi cha muda mfupi ambacho umefanya kazi kama Mwenezi wa chama” – Mhe.Samia Suluhu – Rais wa Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania