Waandishi wa habari kutoka bara zima la Afrika wamezindua muungano uliopewa jina la ‘African Journalists Against Genocide (AJAG)’ wenye lengo la kupinga kile wanachoeleza kuwa ni mauaji ya kimbari ya Israel na uhalifu wa kivita dhidi ya watu wa Gaza, wakiwemo wanahabari wenzao.
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
