#HABARI: Bw.Baraka Mwamengo aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho kuomba ridhaa kwa wananchi ya ubunge jimbo la kyela Mkoa wa Mbeya ,amefika ofisi za msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo kuchukua fomu ya kugombea ubunge.
Bw.Mwamengo baada ya kuchukua fomu amewasihi wanachama wenzake kuungana kuwa kitu kimoja kutafta kura za Chama Chama cha Mapinduzi ili zipatikane kura za kutosha na ushindi uwe kishindo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania