#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Haran Sanga, amechukua fomu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Wilaya ya Kigamboni na kuomba kuteuliwa kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Sanga amesema katika kitimiza lengo la kuwaletea Wanakigamboni maendeleo, atahakikisha anashirikiana na watia nia waliojitokeza jimbo humo pamoja na wananchi kwa ujumla ili kutimiza kiu ya wafanikio waliyonayo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania