#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Bw.Gilbert Kalima, ameisihi jamii kushirikiana na Serikali, kuhakikisha jitihada za pamoja zinafanyika ili kudhibiti na kupambana na uingizaji wa dawa za kulevya nchini, kutoka mataifa jirani.
Bw. Kalima amebainisha hayo wakati anazungumza wakazi wa Vijiji 9 vilivyopo pembezoni mwa Bahari ya Hindi, alipokwenda kufungua Jengo la Ofisi ya usimamizi, wa eneo la pamoja la uvuvi la boma Mahandakini wilayani hapo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania