#HABARI: Raia wa kigeni waliopo hapa nchini wamesifu umahiri wa Jeshi la Magereza Tanzania katika kuhudumia jamii, ikiwemo kusai…#HABARI: Raia wa kigeni waliopo hapa nchini wamesifu umahiri wa Jeshi la Magereza Tanzania katika kuhudumia jamii, ikiwemo kusai…

#HABARI: Raia wa kigeni waliopo hapa nchini wamesifu umahiri wa Jeshi la Magereza Tanzania katika kuhudumia jamii, ikiwemo kusaidia watoto yatima kwenye maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi hilo nchini.
Mmoja wa raia hao ni kutoka nchini Croatia Bw. Mario Ladan ambaye ni miongoni mwa wafadhili wa kituo cha watoto yatima cha Mtakatifu Antony ambaye ameeshuhudia moja ya matendo ya huruma yaliyofanywa na Jeshi la Magereza mkoa wa Ruvuma pale askari na maofisa wa jeshi hilo waliposaidia vitu mbalimbali kwenye kituo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *