#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itamkabidhi kila mgombea atakayetimiza vigezo na kutangazwa kuwa mgombea Urais wa…#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itamkabidhi kila mgombea atakayetimiza vigezo na kutangazwa kuwa mgombea Urais wa…

#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itamkabidhi kila mgombea atakayetimiza vigezo na kutangazwa kuwa mgombea Urais wa chama cha siasa kitakachoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025, gari hili aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer. Magari haya yanatolewa kwa wagombea Urais pekee.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *