#HABARI: Wakulima wa Zao la Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma, wametakiwa kuacha tabia ya kuchanganya maji kwenye Tumbaku kwa lengo la kuiongezea uzito na kwamba kitendo hicho kinaharibu ubora wa Tumbaku na kuifanya ishindwe kuingia kwenye soko.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania