Hamas yakadhibisha madai ya kuuawa kigaidi Khalil al-HayyaHamas yakadhibisha madai ya kuuawa kigaidi Khalil al-Hayya



Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga madai ya utawala haramu wa Israel kwamba umemuua kigaidi Khalil al-Hayya, mmoja wa viongozi waandamizi wa kundi hilo la Muqawama.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *