Balozi wa Marekani Denmark alalamikiwa kuhusu juhudi za Marekani kujipenyeza kwa siri GreenlandBalozi wa Marekani Denmark alalamikiwa kuhusu juhudi za Marekani kujipenyeza kwa siri Greenland



Wizara ya Mambo ya Nje ya Denmark ilitangaza Jumatano kwamba imemwita balozi wa Marekani kufuatia ripoti za intelijensia zinazosema kwamba raia wa Marekani wamehusika kwa siri katika kuchochea upinzani dhidi ya mamlaka ya Copenhagen huko Greenland.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *