#HABARI: Familia ya Jacob Ndukwa, wanaoishi katika Kijiji cha Ilowelo, Kata ya Lwanjilo, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuingi…#HABARI: Familia ya Jacob Ndukwa, wanaoishi katika Kijiji cha Ilowelo, Kata ya Lwanjilo, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuingi…

#HABARI: Familia ya Jacob Ndukwa, wanaoishi katika Kijiji cha Ilowelo, Kata ya Lwanjilo, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi baina yao na Bw. Juma Tusiwe, ambaye anadaiwa kujimilikisha na kuuza eneo lao lenye ekari zaidi 10 bila ya ridhaa ya familia hiyo huku akidai kuwatishia usalama wao.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *