#HABARI: Wakazi wa Kata ya Kwakoa wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kumsindikiza Mgombea udiwani wa Kata ya Kwakoa Bw. kiende Mvungi kwenda kurudisha fomu ya kugombea udiwani, katika Ofisi ya Maendeleo ya kata hiyo, huku akiahidi kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo kwenye Vijiji vya Kata hiyo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania