Niger yalipiza kisasi, yaweka masharti magumu kwa wasafiri kutoka nchi za UlayaNiger yalipiza kisasi, yaweka masharti magumu kwa wasafiri kutoka nchi za Ulaya



Kufuatia sheria mpya ya usafiri iliyowekwa na serikali ya Niger, raia wa nchi zilizoathirika sasa inawalazimu wawasilishe maombi yao ya visa katika balozi za Niger zilizoko Russia, Uswisi, na Uturuki.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *