#VIDEO: Wakati shughuli za uzinduzi wa Kampeni za CCM zikiendelea Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, Heli…#VIDEO: Wakati shughuli za uzinduzi wa Kampeni za CCM zikiendelea Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, Heli…

#VIDEO: Wakati shughuli za uzinduzi wa Kampeni za CCM zikiendelea Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, Helikopta ilikuwa sehemu ya kampeni hizo ambapo imeonekana ikipita na Picha ya Mgombea wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya CCM Dkt.Samia Suluhu Hassan na Mgombea mwenza Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *