Bryan Mbeumo ameshika kichwa chake baada ya Manchester United kufungwa na Grimsby

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Bryan Mbeumo alikosa goli ambalo lingewapa ushindi Manchester United dhidi ya Grimsby

    • Author, Adam Millington
    • Nafasi, Mwandishi BBC Sport

Manchester United imepata mshtuko mkubwa baada ya kuondolewa katika kombe la EFL kupitia mikwaju ya matuta na timu ya Grimbsby ambayo ni kiwango cha chini mara 20 ukilinganisha na Man United- matokeo ambayo yatasalia kumbukumbu miaka ijayo katika historia ya soka duniani.

United walipigwa mikawaju 12 dhidi ya 11 katika awamu ya matuta, baada ya kujizatiti kusawazisha mabao mawili na kuwapa sare na Grimsby.

Lakini hili sio mara ya kwanza kwa United kufungwa katika mechi za nyumbani.

Je, unakumbuka ilivyofungwa mabao 3-0 na New York city katika uwanja wa Trafford miaka 30 iliyopita?



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *