Watu 24 wauawa katika mashambulizi ya waasi wa RSF magharibi mwa SudanWatu 24 wauawa katika mashambulizi ya waasi wa RSF magharibi mwa Sudan



Watu wasiopungua 24 wameuawa na wengine 55 kujeruhiwa kutokana na mashambulizi ya makombora ya waasi wa RSF katika mji mkuu wa El-Fasher, kaskazini mwa Darfur, magharibi mwa Sudan.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *