#HABARI: Mgombea wa Urais Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima AAFP Said Soud Said, amewasili katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya Uteuzi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025