“Barabara hii ni ya uchumi, ndiyo barabara ambayo kuna minada hufanyika kila Jumapili“Barabara hii ni ya uchumi, ndiyo barabara ambayo kuna minada hufanyika kila Jumapili

“Barabara hii ni ya uchumi, ndiyo barabara ambayo kuna minada hufanyika kila Jumapili. Minada hii inaingiza kiasi kikubwa cha fedha ndani ya Halmashauri, lakini pia mifukoni mwa wafugaji na wafanyabiashara wadogo. Ni barabara muhimu na tunawaahidi kwamba tutaichukua na kuifanyia kazi. Inaweza isiishe mwaka huu wa fedha, lakini katika miaka ijayo tutaiweka kwa kiwango cha lami,” Amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *