#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi leo tarehe 31 Agosti, 2025 amekabidhi fomu ya uteuzi kwa mgombea wa Kiti cha Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka Chama cha NCCR-MAGEUZI, Mhe. Laila Rajab Khamis. Hafla hiyo imefanyika katika Afisi za Tume zilizopo Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania