“Kwa upande wa elimu, tunakuja kufanya majambo kwa kuongeza shule, kwa sababu tunajua watoto wetu wanakua na mahitaji ya madarasa bado yapo. Tutakuja kuongeza shule za sekondari na shule za msingi pamoja na nyumba za walimu,” Dkt. Samia Suluhu Hassan – Mgombea Urais CCM