“Ndugu zangu Wanakondoa, hapa tupo mafiga matatu, Kuna mimi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye ninaomba kura zenu“Ndugu zangu Wanakondoa, hapa tupo mafiga matatu, Kuna mimi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye ninaomba kura zenu

“Ndugu zangu Wanakondoa, hapa tupo mafiga matatu, Kuna mimi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye ninaomba kura zenu. Lakini pia ninawaombea kura wabunge hawa wawili. Na pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa… kwa sababu sisi hatuendi na ‘tonetone’, sisi tunamimina fedha, kwa hiyo tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, madiwani hawa ndiyo bunge lenu, tunaomba mtuletee pia,”
Dkt. Samia Suluhu Hassan – Mgombea Urais CCM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *