Russia na China zasimama na Iran dhidi ya E3 kwa kutumia vibaya azmio la UN
Russia na China zimechukua hatua kukabiliana na mpango wa nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya, E3, na kusambaza rasimu ya azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalopendekeza…