Matangazo ya Asubuhi 29.08.2025Matangazo ya Asubuhi 29.08.2025
29 Agosti 2025

Israel bado inaendeleza mashambulizi Gaza huku kukiwa na hofu ya kutokea janga la kiutu // Vikwazo vya kibiashara vilivyowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya mataifa ya BRICS vimezaa matokeo yasiyotarajiwa // Kamatakamata ya waandishi habari Ethiopia yasababisha hofu miongoni mwa jumuiya ya wanahabari

https://p.dw.com/p/4zfTZ

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *