🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI : AGOSTI 30, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI : AGOSTI 30, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI : AGOSTI 30, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika mwezi Ujao mjini New York Marekani. Kallas amesema kutokana na mikataba iliyoko kati ya Umoja wa Mataifa na Marekani, taifa hilo linapaswa kufikiria upya uamuzi wake.…
Afisa huyo ambae hakutaka jina lake kutajwa kwa kuwa hakuidhinishwa kuzungumza na vyombo vya habari, aliliambia shirika la habari la The Associated Press kwamba Israel itachukua uamuzi huo ndani ya…
Inaarifiwa watu waliokuwa wamejazana katika boti hiyo walikuwa wanayakimbia mashambulizi ya watu waliojihami katika jimbo hilo. Maidamma Dankilo, Mkuu wa mji wa Birnin Magaji,amethibitisha mauaji ya watu hao 13. Watu…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutatua changamoto za ardhi na kuendeleza programu za…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linapaswa kuchukua hatua za haraka kuwalinda raia katika maeneo ya Magharibi…
Halmshauri ya Umoja wa Ulaya ilipendekeza kusimamisha kwa muda ufadhili wa utafiti katika makampuni kadhaa ya Israel, baada ya Uchunguzi wa Halmashauri hiyo kuonesha kuwa hatua za Israel, katika Ukanda…
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ufaransa Jean-Noel Barrot amesema wahusika wote wanapaswa kuhudhuria mkusanyiko huo. Ameyazungumza hayo katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje unaofanyika Copehagen.…
Zaidi ya droni 100 zilionekana zikiruka sehemu tofauti za nchi, huku jeshi la anga likijaribu kudungua baadhi ya droni hizo. Miripuko pia iliripotiwa katika maeneo ya Cherkasy, Chernihiv, Dnipro na…
Bangkok Wizara ya Ulinzi ya Thailand imesema kukosekana kwa serikali rasmi nchini humo hakuaathiri usalama wa mipaka na Cambodia. Taifa hilo linajaribu kujaza nafasi ya Waziri Mkuu iliyowachwa wazi baada…