Watu wenye silaha waua watu wawili na kuwateka 100 Nigeria
Maafisa na viongozi wa eneo hilo wamesema kuwa washambuliaji walikivamia kijiji cha Gamdum Mallam huko Adafka Bukkuyum siku ya Jumamosi, wakiwa wanaendesha pikipiki na kuanza kufyatua hovyo risasi. Mwenyekiti wa…