Watu wanane wapoteza maisha kutokana na mapigano makali DRC
Hali ya taharuki ilitanda mjini Uvira kuanzia Jumatatu mchana hadi Jumanne jioni, baada ya kundi la Wazalendo na askari wa FARDC kushambuliana. Aimedo, mkaazi wa Uvira, anasema Wazalendo waliwashutumu askari…