DRC: Qatar yahakikisha kuhusu mazungumzo yanayoendelea Doha kati ya Kinshasa na M23
Wakati bado kuna mkanganyiko kuhusu mazungumzo kati ya serikali ya Kongo na waasi wa AFC/M23, ambayo yalianza tena mjini Doha mnamo Agosti 20, diplomasia ya Qatar imevunja ukimya wake siku…