#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, kimesema kuwa kimeimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yaliyopangwa kufanyika mikutano ya Mgombea wa Chama hicho nafasi ya Urais wa Jamhuruiya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kunadi sera zao na kuomba kura, anaetarajiwa kuwasili Septemba 4, 2025.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025