#HABARI: Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Magharibi kati Tabora mchungaji Newton Maganga ambaye amekuwa kivutio baada ya kuonekana kupitia mitandao ya kijamii akishiriki mbio mbalimbali za masafa marefu (Marathon) akiwa ameshika Bíblia, kitabu cha nyimbo za dini pamoja na kuvaa mavazi ya kichungaji, tofauti na wakimbiaji wengine ametoa sababu ya kufanya hivyo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania