#HABARI: Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Hansbeti Augustine, mkazi wa Kata ya Nshambia, Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, amekamatwa na Maafisa wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira, mjini Bukoba kwa tuhuma za wizi, maji hali iliyosababisha watu kadhaa kukosa huduma hiyo kwa zaidi ya mwezi mmoja.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025